Event Countdown



Kwa mawasiliano zaidi:

Taasisi ya Elimu Tanzania

Simu: +255-735041168 / 735041170

Baruapepe: director.general@tie.go.tz

Tovuti: www.tie.go.tz

Upcoming Events

Matembezi ya Hisani Kuadhimisha Miaka 50 ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET)

Start:Friday, 07 Mar, 2025 @ 6:00 am
End: Friday, 07 Mar, 2025 @ 6:00 pm
Ordinary Ticket

Tsh:50,000

Mchangiaji atapata vitu vifuatavyo:

  • 1 Tiketi ya Matembezi
  • 1 T-shirt
  • 1 Kofia
  • 1 Medal
  • 994040118259 Namba ya kulipia (Control Number)
VIP Ticket

Tsh:150,000 /=

Mchangiaji atapata vitu vifuatavyo :

  • 1 Tiketi ya Matembezi
  • 1 Tracksuit
  • 1 Kofia
  • 1 Medal
  • 994040118259 Namba ya kulipia (Control Number)
NB:

Baada ya malipo, mfumo utatoa reference number (namba ya risiti) ambayo mchangiaji ataitumia kuingia kwenye mfumo (tovuti hii sehemu ya register) ili kujisajili.

Event Description

Katika kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwake Taasisi ya Elimu Tanzania (TET), inazindua kampeni ya "Kitabu Kimoja kwa Mwanafunzi Mmoja. Lengo la kampeni hii ni kuunga mkono juhudi za serikali za kuchapa na kusambaza Vitabu vya Kiada kuanzia Elimu ya Awali, Darasa la Kwanza hadi la Saba na Kidato cha Kwanza hadi cha Sita ili kufikia uwiano wa kitabu kimoja kwa Mwanafunzi mmoja yaani (1:1).

Ili kufikia lengo hili, TET inawaalika wadau wote wa elimu ikiwemo serikali, sekta binafsi, mashirika ya kimataifa, na watu binafsi kushiriki katika matembezi ya hisani kwa kuchangia na kuunga mkono dhamira hii muhimu. Michango yote itakayopatikana itaelekezwa moja kwa moja katika uchapishaji na usambazaji wa vitabu vya kiada kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari Tanzania Bara na Zanzibar.

Karibu tuungane pamoja kufanikisha lengo hili la Kitabu Kimoja kwa Mwanafunzi Mmoja.


Organizer's Information

TANZANIA INSTITUTE OF EDUCATION (TIE)

Tanzania Institute of Education (TIE) is a government institute under the Ministry of Education, Science and Technology established in 1975 by Act of Parliament No. 13 of 1975 (RE, 2002). The Institute is responsible for interpreting government policies on education to befitting curriculum programs and instructional materials to facilitate the provision of quality education at pre-primary, basic, secondary and teacher education levels.


Contact Information

Phone: 255735041170